Wednesday, October 26, 2016

Ushauri alioutoa DC kuhusu SACCOS

Mkuu wa wilaya ya Arusha Gabriel F. Daqarro ameshauri wananchi kuwepo katika Saccos ili kutumia fursa zitakapojitokeza nakutaka kuwepo kwa riba nafuu katika kujiunga nakukopesha,Amezungumza hayo katika mkutano mkuu wa 10 wa wanachama kutoka  Arusha Soko kuu Saccos

No comments:

Post a Comment