Thursday, March 16, 2017

Lisu akamatwa

TUNDU LISSU AKAMATWA: Mbunge Tundu Lissu akamatwa na polisi asubuhi hii nyumbani kwake na kupelekwa ofisi ya Kamanda wa Polisi mkoani Dodoma.

No comments:

Post a Comment