Monday, March 13, 2017

Raisi Magufuli kapiga simu Clouds TV

UPDATE;Raisi Magufuli amepiga simu muda huu  kwenye kipindi cha Clouds 360 cha clouds TV nakumpongeza Diamond Platnumz kwa kazi anazozifanya, nakuahidi kuzifanyia kazi changamoto za wasanii

No comments:

Post a Comment