Tuesday, March 19, 2013

LIL WAYNE ATOLEWA HOSPITALINI

Baada yakulazwa takriban siku sita sasa rapper wakimarekan lily wyne ametolewa katika hospital ambayo alikuwa amelazwa inayoitwa cedas-Lil Wayne Remains In ICU sinai jijini los angeles baada ya madaktari kuona afya yake imeimarika kwa kiasi fulani

No comments:

Post a Comment