Ilikuwa mitaa ya mtoni mtongani kwa azizi ally ambapo Binti mmoja alinaswa na kamera mani wetu akiwa uchi wakati akicheza pool table .binti huyo ambaye ni maarafu kwenye mchezo huo alikuwa amevaa nguo fupi(kimini) ........................................................................
Siku hiyo ilipangwa mechi kali kati ya kijana mmoja na binti huyo. wakati binti huyo akicheza pool table bila wasiwasi alizua balaa baada ya vijana hao kugundua kwamba hajavaa nguo ya ndani.
vijana walianza kumzomea na kumghasi, hatimaye hakumaliza mchezo huo . Binti huyo aliondoka na kwenda mtaani kuchukua wavuta bangi, walikuja kufanya fujo.
Walifanya fujo lakini kilichotokea ni hiki! binti alivuliwa nguo na kuachwa uchi wa mnyama . vitendo kama hivi vinalaaniwa na vinapotosha jamii yetu , vijana tunapaswa kuwa makini na mavazi tunayova
No comments:
Post a Comment