SEKTA YA USAFIRI HAPA NCHINI
IMEPATA ONGEZEKO LA ZAIDI YA MILIONI 2 KUTOKA MWAKA 2005 HADI
KUFIKIA MILIONI 4.1 IKIWA NI ONGEZEKO LA
ASILIMIA 90%KATIKA VIWANJA VYA KILIMANJARO NA ARUSHA IKIWA IMECHANGIWA
NA MKOA WA ARUSHA
AKIZUNGUMZIA KATIKA MKUTANO WA SIKU MBILI ULIOANDALIWA NA
MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA MKURUGENZI WA
MAMLAKA HIYO BW FADHIL MANONGI AMESEMA MASHIRIKA YA NDEGE YA
KIMATAIFA YAMEONGEZEKA KUTOKA 12 MWAKA
2005 HADI KUFIKIA 17 MWAKA 2013
BW FADHIL AMEENDELEA KUSEMA KUWA MAMLAKLA YA USAFIRI WA ANGA
INATEKELEZA MAJUKUMU YAKE KUFUATANA NA TARATIBU ZILIZOWEKWA NA SHIRIKA LA
KIMATAIFA LA USAFIRI WA ANGA ICAO NA TANZANIA IMEKUWA MWANACHAMA WA SHIRIKA
HILO TANGU MWAKA 1962
PAMOJA NA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA KUDHIBITI NA KUSIMAMIA
SHUGHULI NA TARATIBU ZA USAFIRI WA ANGA HAPA NCHINI NA KUTOA HUDUMA ZA
UONGOZAJI NDEGE KATIKA ANGA LOTE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA KATIKA
VIWANJA VYA NDEGE 14
AKIFUNGUA MKUTANAO HUO WA SIKU MBILI UNAOWAKUTANISHA
WAFANYAKAZI WA MAMLAKA HIYO KWA NIABA YA MKUU WA MKOA WA ARUSHA NYIREMBE MUNOSI
AMBYAYE NI MKUU WA WILAYA YA ARUMERU AMESEMA ILI KULETA MAFANIKIO KATIKA SEKTA
HIYO UBORESHWAJI WA HUDUMA UNATAKIWA ILI KUWEZA KUMUDU SOKIO LA AFRIKA YA
MASHARIKI
AIDHA NYIREMBE AMESEMA
KUWA SEKTA YA ANGA HAPA NCHINI INATEGEMEWA NA SEKTA NYINGINEZO HIVYO
HAINA BUDI KUWA NA VIWANJA VVYAKUTOSHA ILI KUWEZA KUPATA WATALII NA NCHI
KUJIINGIZIA MAPATO
USAFIRI WA ANGA DUNIANI UNASIMAMIWA NA ICAO NA INA WANACHAMA
191 HADI SASA NA NCHI ZILIZOPO KWENYE BARAZA HILO NI 36 NA KWENYE MKUTANO MKUU
WA ICAO TANZANIA INATARAJIA KUPELEKA MGOMBEA KATIKA NAFASI YA BARAZA HILO.
No comments:
Post a Comment