Akizungumza katika kipindi cha Power Breakfast, Meneja wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba ameelezea kuwa Lady Jaydee amekosea kuelekeza vita kwao...
Amedai kuwa kama tatizo ni Bendi
ya SkyLight basi apambane kuipiku bendi hiyo na si kugombana na watu
wengine.....
Akiongea kwa mbwembwe, Ruge ameamuru kutopugwa wimbo wowote wa bongo fleva leo.....
Amesema kuwa Clouds fm ni chombo binafsi kina maamuzi ya kufanya chochote pasipo kuvunja sheria...
Baada ya kauli hiyo Times Fm wamewajibu clouds fm na kudai kuwa WAO LEO WATAPIGA BONGO FLEVA MPAKA MAJOGOOOO...!!!
Nadhani
Times fm wamefikia uamuzi huo ili kuwajulisha clouds kuwa kuna
vituo vingine vingi vya radio zaidi yao na kwamba hawako peke
yao
"Kwa Kutumia Kilicho chetu , Asili yetu na Muziki wetu leo katika vipindi vyote utaskikia muziki wa nyumbani wa BON
No comments:
Post a Comment