MAZISHI YA WALIOUAWA KWA MABOMU WAZIKWA,MAJONZI YATAWALA,MAASKOFU WATOA KILIO CHAO KWA WAZIRI MKUU
Majeneza yakiwa kanisani kabla ya ibada ya mazishi
|
Mapadri wakiwa wamebeba moja ya majeneza |
Watawa wakiwa kanisani wakati wa ibada |
Viongozi wa Kanisa wakitoa salamu za mwisho |
Kilio kilio kilio anamlilia mama yake mzazi |
Wananchi wakitoa salamu zao za mwisho kwenye kanisa katoliki |
Majonzi na uchungu |
Wahudumu wakishusha mwili wa marehemu kaburini kwenye viwanja vya Kanisa la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi Parokia ya Olasiti jijini Arusha |
Wahudumu
wakishusha mwili wa marehemu kaburini kwenye viwanja vya Kanisa la
Mtakatifu Joseph Mfanyakazi Parokia ya Olasiti jijini Arusha |
Baadhi ya maaskofu kutoka majimbo mbalimbali waliohudhuria ibada ya mazishi leo |
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania(KKKT)Dk Alex Malasusa(kushoto)akiwa na viongozi wengine wa Kanis a hilo wakiwa kwenye ibada ya mazishi |
Umati wa watu waliohudhuria maziko hayo |
Waziri Mkuu mstaafu,Edward Lowassa(kulia)akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani,Dk Emmanuel Nchimbi kabla ya ibada kuan |
No comments:
Post a Comment