Friday, May 10, 2013

LADY JAYDEE Afunguliwa Kesi Mahakamani





Kupitia moja ya kurasa za kijamii ya mwanamuziki Lady JayDee ameandika kuwa amepata taarifa kuwa amefunguliwa kesi mahakamani ila hajasema ni nani aliemfungulia kesi hiyo na ni mashtaka yanayohusu nini ...
[@JideJaydee].."Nimepata taarifa zisizo rasmi kuwa nimefunguliwa kesi mahakamani natumaini sitaitwa kizimbani tar 31 May ambayo ndio siku ya show"..
Bado tunafuatilia kwa karibu kujua ni ni hasa kimemkuta mwanadada huyu ...
CHANZO GONGAMIX

No comments:

Post a Comment