Redd's Miss Arusha City Centre 2013
Nancy Moshi akiwa katika picha ya pamoja na na mshindi wa pili Glory
Steven (kushoto) na mshindi wa tatu Neema Kessy (kulia) mara baada ya
warembo hao kutangazwa kuwa ndio washindi wa shindano hilo lililofanyika
usiku wa kuamkia leo katika hotel ya kitalii ya Snow Crest jijini
Arusha..
HONGERA SANA NANCY!!
|
No comments:
Post a Comment