DOGO JANJA, NIGA C NA DJ BWAXX WAKAMATWA NA MISOKOTO YA BANGI....WAWEKWA NDANI
MSANII
ANAETAMBA KWA SASA NCHINI ABDULAZIYI CHENDE INASEMEKANA AMEKAMATWA
JIONI HII HAPA JIJINI ARUSHA AKIWA NA WENZAKE WAWILI AMBAO NI DJ MAARUFU
HAPA TOWN DJ BWAXX NA MSANII NIGA C WAKIWA NA..
MISOKOTO KADHAA YA BANGI MAENEO YA NGARENARO NA KUPELEKWA KITUO KIDOGO
CHA POLISI NGARENARO KABLA YA KUFIKISHWA CENTRAL.CHANZO CHA TAARIFA HIZI
ZINADAI KUWA WASANII HAO WALIKUWA WAKIUNGUA MAENEO YA NGARENARO NA
BILA KUSHTUKIA KUWA TAYARI VIJANA WA MWEMA WALIKUWA MAENEO HAYO WAKIWA
DORIA NA KUSIKIA HARUFU YA CHA ARUSHA NDIPO WALIPOWAIBUKIA NA KUWATIA
NGUVUNI.BADO TUNAZIFUATILIA TAARIFA HIZI ILI KUJUA UKWELI WAKE NA HATIMA
YA KADHIA HIYO YA RAP MAKER HUYO AMBAE BADO NI MDOGO KIUMRI JAPO
AMEANZA KUJIHUSISHA NA MAMBO MAKUBWA NA YASIYOFAA..CHANZO http://nellykivuyo.blogspot.com
No comments:
Post a Comment