HAWA WANASABABISHA NGONO ISIPUNGUE NA KUONGEZA MARADHI
Miongoni mwa wadada wengi siku hizi wanapokuwa katika kumbi za starehe
ufanya mambo ya ajabu kupita maelezo, aidha kwa kuvaa nguo ambazo
zinaonesha maungo yao au ata kujifunua makusudi na wakati mwingine ata
kukaa vibaya mbele za macho ya watu. Mi naamini kila jambo lina
makusudio yake uenda makusudio yao ni kupata wanaume kiuraisi nikiwa na
maana kuwa wanajiuza kwa sababu kama mtu unajiheshimu uwezi kuonesha
nyeti zako kwa watu. Wengine wanafanya vituko wakiwa wamelewa je ni
kweli pombe ndiyo imewapelekea wayafanye hao? Kama ni pombe mbona watu
wengine wanakunywa na hawafanyi mambo kama haya?! Jamaani si kila mlango
uliofungwa sharti ubishe hodi uenda kukawa hakuna mtu ndani, yani
namaanisha wadada wanaovaa nguo ambazo zinawaonesha sehemu zao za siri
inawezekana hawana wapenzi na kama wanao wapenzi basi ni mapunguani kama
wao. Sina mengi ya kuzungumzia machafuko ya macho ila unaweza kupata
maana nyingi kwa kuangalia picha hapo juu.
No comments:
Post a Comment