Saturday, June 8, 2013

KALA JEREMIAH NA OMMY DIMPOZ WATISHA TUZO ZA KILIMANJARO 2013


KALA JEREMIAH NA OMMY DIMPOZ WATISHA TUZO ZA KILIMANJARO 2013 ..... HAWA HAPA NDIO WASHINDI NA DONDOO MUHIMU ZILIZOJILI WAKATI WA UTOAJI WA TUZO



* KALA JEREMIAH, OMMY DIMPOZ WATISHA KWA KUZOA TUZO TATU

* CHALZ BABA, , OMMY DIMPOZ WAZOA TUZO MBILI MBILI

* NEY WA MITEGO ABEBA TUZO NDANI YA SIKU YAKE YA KUZALIWA

*OMMY DIMPOZ AMSHUKURU ZITTO KABWE KWA KUFANIKISHA UTENGENEZAJI WA VIDEO YAKE YA BAADAE

* ZEMBELA ATISHA KWA USHEHERESHAJI

* SALEHE ABDALLAH YAZIPU NA KILIMANJARO BAND WABEBA TUZO ZA HESHIMA

* LADY JAY DEE ABEBA TUZO YA MSANII BORA WA KIKE

* DIAMOND ANYAKUA TUZO YA MSANII BORA WA KIUME

1. KIKUNDI BORA CHA TAARABU NI- JAHAZI MODERN TAARAB


2. MTUNZI BORA WA MASHAIRI YA TAARABU- THABIT ABDUL

3. WIMBO BORA WA MWAKA TAARABU- KHADIJA KOPA

4. MTAYARISHAJI BORA WA TAARABU- ENRICO

5. MSANII BORA WA KIKE TAARABU- ISHA MASHAUZI

6. MSANII BORA WA KIUME TAARABU- MZEE YUSUPH

7.Wimbo bora wa bongo POP mshindi ni OMMY DIMPOZ
8. MSANII BORA ANAYECHIPUKIA NI - ALLY NIPISHE
9. KIKUNDI BORA CHA MWAKA - JAMBO SQUARD
10. MTAYARISHAJI BORA WA MUZIKI CHIPUKIZI WA MWAKA - MEN'S SELECTOR

11. WIMBO BORA WA BENDI - RISASI KIDOLE YAO MASHUJAA BENDI

12. MTUNZI BORA WA MASHAIRI BENDI - CHALZ BABA

13. MTAYARISHAJI BORA WA BENDI WA MWAKA - AMOROSSO

14. MSANII BORA WA KIKE BENDI - LUIZA MBUTU

15. MSANII BORA WA KIUME BENDI - CHALZ BABA

16. RAPA BORA WA BENDI - FERGUSON

17. BENDI BORA YA MWAKA - MASHUJAA BAND

18. WIMBO BORA WA ZOUK - NI WEWE WAKE AMIN

19. WIMBO BORA WA REGGAE - KILIMANJARO WAO WARRIORS

20. WIMBO BORA WA RAGGA - DOUBLE WAO PREDATOR

21. MSANII BORA WA HIP HOP - KALA JEREMIAH

22. MTUNZI BORA WA MASHAIRI HIP HOP - KALA JEREMIAH

23. WIMBO BORA WA HIP HOP - NASEMA NAO WA NEY WA MITEGO

24. WIMBO BORA WA RnB - SINA MAPENZI WA RAMA DEE

25. WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI - VALU VALU WAKE JOSE CHAMELEONE

26. WIMBO BORA WA KUSHIRIKIANA - ME n YOU WAKE OMMY DIMPOZ FT VANNESA

27. WIMBO BORA WA MWAKA - DEAR GOD YAKE KALLA JEREMIAH

28. VIDEO BORA YA WIMBO WA MWAKA - BAADAE YAKE OMMY DIMPOZ

29. TUZO YA HALLFAME 2013 NI KILIMANJARO BAND "Wana Njenje";

30. TUZO YA HALLFAME 2013 YA BINAFSI NI SALUM ABDALLAH YAZIPU aliyeimba SHEMEJI SHEMEJI HUKU WAZIMA TAA

31. MSANII BORA WA KIKE - LADY JAY DEE

32. MSANII BORA WA KIUME - DIAMOND

No comments:

Post a Comment