Saturday, June 22, 2013


  • MSANII OMMY DIMPOZ APIGWA MAWE
    JUKWAA kutoka hapa dodoma
    wenye KILI TOUR inayojumuisha wasanii
    kadhaa wa bongo.

    Msanii Ommy Dimpoz amejikuta katika hali
    ngumu ya kimziki baada ya kupanda
    jukwaani na kukutana na mvua ya mawe na
    chupa kutoka kwa mashabiki wa Marehemu
    Albert mangwea.

    photo(1)
    Ikumbukwe O.Dimpoz amekwaa kashfa ya
    kumtusi Marehemu Albert Mangwea.
    Mangwea katika maisha yake dodoma ndio
    sehemu aliyoitangaza sana kama eneo
    lililomtoa kimziki.
    OMMY dimpoz alilazimika kukimbia jukwaa
    kujiokoa

No comments:

Post a Comment