WIMBI
la majambazi kujitokeza kuteka magari na kuwapora wasafiri limechukua
sura mpya baada ya kuanza kuvamia vituo vya polisi kama ilivyoripotiwa
jijini Dar na sasa ni Mwanza.
Jijini
Mwanza, majambazi yamevamia makao makuu ya polisi na kuiba vielelezo
kadhaa ikiwamo begi na laptop. Imeelezwa kwamba majambazi hao walivunja
dirisha kisha wakaingia stoo, baada ya kukuta karatasi na zana nyinginezo ambazo hawakuwa na haja nazo walivunja dali na kuingia chumba cha pili.
Baada
ya kupekua na kutokuona cha maana kwao, wakatoboa tena dali na kutokea
chumba cha tatu ambako walichukua laptop na begi iliyokuwa na vielelezo
mbalimbali. Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Mwanza ndugu Ernest Mangu
amethibitisha kutokea kwa tukio hilo huku akisema wahusika
hawajakamatwa.
Naye Kaimu Mkaguzi Mkuu wa kanda amekiri kupokea taarifa ya tukio hilo na kuomba wananc
No comments:
Post a Comment