KUELEKEA FAINALI YA MISS TANZANIA,MSHINDI WA MISS REDD'S TALENT APATIKANA
Brigette Alfred ndiyo mrembo anayeshikilia taji la Miss Tanzania hadi hivi sasa. Mr Makoye mmoja kati ya waandaji wa mashidano ya Miss Tanzania akiongea na millardayo.com alisema,”Miss talent imeshafanyika na wiki hii yani Jumamosi kwa mara nyingine tena tutakuwa na fainali za Miss Tanzania. Hadi sasa warembo bado wapo kambini na cream tuliyoipata kutoka kwenye vitongoji, tunaamini tutapata mrembo wa kuigwa”
No comments:
Post a Comment