Vifaa tiba vilivyokabithiwa mkoa wa Manyara, ni vile vya kutoa huduma ya uchunguzi wa Saratani ya shingo ya kizazi pamoja na kutibu dalili za mwanzo za ugonjwa wa Saratan.
Akipokea vifaa hivyo Bw. Mbwilo alitoa pongezi kwa shirika hilo la EngenderHelth kwa ushirikiano walio nao na Serikali kwa kugundua mapungufu na kuyafanyia kazi ili kupunguza vifo vya mama na mtoto vinavyotokea nchini kwa takriban akinamama 6,241 kwa kila mwaka.
"Kiwango hiki cha vifo ni kikubwa sana hivyo Serikali itakuwa bega kwa began na mashirika yasiyo kuwa ya kiserikali na kuongeza kuwa vifaaa vilivyopokelewa kutoka shirika hilo vitatumika kwa uadilifu mkubwa ili viweze kuleta tija kwa jamii”alisema Mbwillo
Mkuu wa mkoa wa Manyara Elasto Mbwilo
Pamoja na kukabithi vifaa hivyo, shirika la EngenderHelth pia
linatoa mafunzo ya siku sitakwa madaktari nawauguzi 15 watakaotoa huduma
hiyo yatakayohitimishwamwishoni mwa wiki ijayo.
Awali akisoma taarifa ya utekelezaji wa miradi iliyotekelezwa katika mkoa wa Manyara kupitia shirika hilo, mshauri wa mradi wa
HIV/AIDS, Dr.Witnes Motta alisema,Shirilka limetoa
huduma ya uzazi wa mgango na kupunguza maambuklizi ya VVU Ukimwi
kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto toka mwaka 2007 kwa Halmashauri zote za Mkoa wa Manyara
Dr Motta aliendeleakuseka kuwa shirika katika kuimarisha huduma hiyo limeweza kutoa mafunzo ya uzazi wa mpango pamoja na kuwajengea uwezowakufunzi 248 na watoa huduma 38 waliopopo kwenye mafunzikatika wilaya ya Babati na Hanang ili waweze kutenda kazihizo kwa ufanisi zaidi
Alisema katika kuimarish huduma hiyo shirika limefaniikiwa kukarabati vituo vya Afya, Hospitali na Zahanati zikiwemo kituo cha Magugu,Didas,Galapo, Mrara, Endasaki, Dongobeshi, Masqoroda,Kibaya,Magara, Kateshi na Dawarth vilivyopo Mkoaani humo kwagharama ya Tsh mil 278,000,000

No comments:
Post a Comment