PICHA NNE ZA DARASA LA SABA LEO JIJINI ARUSHA WA KIHITIMU MITIHANI YAO
Wanafunzi wa darasa la Saba Shule ya Msingi Levolosi jijini Arusha wakitoka kufanya mitihani ya kuhitimu elimu ya msingi nchini. |
Wanafunzi wakibadilishana mawazo kuingia kwenye mitihani yao ya mwisho. |
Mwalimu Mkuu wa shule ya Levolosi akizungumza na wanafunzi wake baada ya kufanya mithani yao ya kuhitimu. |
No comments:
Post a Comment