MKUTANO WA MAKAMU WAKUU WA WAKUU WA VYUO VIKUU PAMOJA NA VIONGOZI WENGINE WAMEKUTANA JIJINI ARUSHA KWA AJILI YA KUJADILI CHANGAMOTO ZA KIELIMU IKIWEMO JINSI YA KUWA NA USHINDANI PALE WANAPOHITIMU MAFUNZO MBALIMBALI HAPA NCHINI
AKIZUNGUMZA KATIKA MKUTANO HUO WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI SHUKURU KAWAMBWA AMESEMA KWAMBA ELIMU YA JUU PAMOJA NA WAAJIRI HAPA NCHINI WANATAKIWA KUSHIRIKIANA
AIDHA AMESEMA KUWA MWAJIRI ANA NAFASI KUBWA KATIKA SUALA LA ELIMU IKIWEMO KUANDAA MITAALA PAMOJA NASUALA LA KUPATA MAFUNZO KATIKA SEKTA MBALMBALI IKIWEMO VIWANDA
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mh. Shukuru Kawambwa.
KAWAMBWA AMESEMA KUWA MITIHANI YA DARASA LA SABA ILIYOMALIZIKA HAPA INAENDELEEA VIZURI IKIWE KWA JIJI LA ARUSHA
KWA UPANDE WA JOSEPHAT ITIKA AMBAYE NI NAIBU MAKAMU MKUU WA CHUO CHA TAALUMA AMESEMA KWAMBA SABABU ZINAZOSABABISHA BAADHI YA WAHITIMU WA VYUO KUSHINDWA KUFANYA VIZURI SEHEMU ZA KAZI NI KUTOKANA NA KUKOSA JTIHADA BINAFSI
MKUTANO HUO UTADUMU KWA SIKU MBILI HAPA JIJINI ARUSHA NA UTAJADILI MAMBO MBALIMBALI YANAYOHUSIANA NA ELIMU AMBAPO PIA UMEKUTANISHA WADAU MBALIMBALI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment