- Wabunge wa Kambi ya Upinzani wametoka nje baada Naibu spika kushindwa kutolea ufumbuzi hoja za upinzani na kutaka kuwaburuza baada ya kusimama Tundu Lisu kuuliza muongozo kuhusu kuleta mswaada bila kuwahusisha Zanzibar huku Tanganyika wakihusishwa!
Naibu spika akatumia nguvu ya kiti cha spika kumzuia asiongee ndipo upinzani kutoka nje!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment