Katika uzinduzi huo wakati akisoma
hotuba yake kwa wasanii hao ,Mollel aliwataka kuhakikisha kazi
wanazozifanya zinaleta ujumbe wa kuelimisha jamii pamoja na kuburudisha,
huku akiwataka viongozi wa Arusha Movie kutokukata tamaa bali wafanye
kazi kwa ushirikiano ili kuleta maendelea kwa wasanii na kuwa mfano wa
kuigwa na wasanii wengine Nchini
Thursday, October 17, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment