Monday, October 14, 2013


RAIS KIKWETE AKIWASILI IRINGA TAYARI KWA KUZIMA MWENGE KITAIFA.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili Uwanja wa Ndege wa Nduli mjini Iringa jana Oktoba 13, 2013 kuhudhuria Maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenye wa Uhuru, Wiki ya Vijana na Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere zinafanyika leo  katika uwanja wa Kumbukumbu ya Samora.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Iringa mjini Mhe Msigwa katika Uwanja wa Ndege wa Nduli mjini Iringa  kuhudhuria Maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenye wa Uhuru, Wiki ya Vijana na Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere zinazofanyika  katika uwanja wa Kumbukumbu ya Samora.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na kamanda wa vijana wa CCM Mkoani Iringa,Mhe Asas katika Uwanja wa Ndege wa Nduli mjini Iringa  kuhudhuria Maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenye wa Uhuru, Wiki ya Vijana na Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere zinazonyika  katika uwanja wa Kumbukumbu ya Samora. PICHA NA IKULU
CHANZOhttp://rweyemamuinfo.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment