CCM YAREJESHA JIMBO LA KALENGA KWA KISHINDO PITIA MATOKEO HAPA
wanakalenga
wakiwa wamembeba juu mshindi wa ubunge wa jimbo la Kalenga Bw. Mgimwa
baada yab kutangazwa mshindi wa wa jimbo hilo
Wanakalenga hii hapo jana Wamechagua Mbunge wa Jimbo lao na haya hapa ndio, MATOKEO YA JUMLA.
CCM wamepata Kura 22908
CHADEMA Wamepata Kura 5800
Chausta 143.
CCM imeshinda kwa asilimia 79.4
Chadema kwa Asilimia 20.1
Chausta Kwa Asilimia 0.5
HONGERA GODFREY WILLIAM MGIMWA MBUNGE mteule WA JIMBO LA KALENGA AKIWA NA UMRI WA MIAKA 32 TU.
No comments:
Post a Comment