WARSHA YA WAHARIRI WA HABARI YAENDELEA JIJINI MWANZA
Warsha inaendelea kwa mada mbalimbali kutolewa,huku sekretalieti ikiwa
makini kuandika mambo yote ya msinhi kama inavyoonekana hapo.
Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza akitoa salaam za mkoa
Kusikiliza na kufuatilia mada ni jukumu la kila mmoja kama ilivyo hapo
No comments:
Post a Comment