AJALI YATOKEA LUGALO, MAKONGO ZAIDI YA WATU 6 WARIPOTIWA KUFARIKI
Gari aina ya Toyota Coaster inayofanya safari zake kati ya Ubungo na
Tegeta jijini Dar es Salaam imepata ajali mbaya leo mchana baada ya
kugongana na gari lingine na kusababisha vifo vya watu wanaokadiriwa
kuwa zaidi ya 6 katika eneo la Makongo Sekondari jijini Dar.
Inasikitisha Jamani ...RIP
By faraji mfinanga
Inasikitisha Jamani ...RIP
By faraji mfinanga
No comments:
Post a Comment