Baada Ya Picha za Uchi Kusambaa Mtandaoni.... hiki ndo alichosema mbunge wa mbinga Mh komba
Nimesikitishwa sana na kitendo cha binti aliye weka picha yake ikionyesha maziwa nje name nyingine nikiwa nimepiga nae.
Nimesikitishwa sana na kitendo cha binti aliye weka picha yake ikionyesha maziwa nje name nyingine nikiwa nimepiga nae.
Binti huyo ni
mpiga kura Wangu na alikua anaumwa
nikaona nikamsalimie kwakua nafahamiana nae na ni kama mtoto Wangu.
Nilipofika nilimkuta amevaa kanga nikampa juice na matunda
niliyompelekea na fedha taslimu. Alishukuru sana akaomba kupiga picha
nami, basi akasogea karibu akapiga picha.
Kumbe alishapiga nyingine
ikiwa inaonyesha maziwa. Ninafaham kuna watu wamemtumia ili kunichafua
na kuchafua chama. Hongereni lakin ukweli no huo
According to. KOMBA
No comments:
Post a Comment