Thursday, June 5, 2014

Picha za Mh. Komba zilizovuja mtandaoni ni aibu tupu zitazame hapa


Hizi baadhi ya picha ambazo zimeenea kwenye mitandao ya jamii na zipo nyengine nyingi lakini kutokana na sababu za kimaadili si vema kuanika hapa maana ni aibu sana.
Lakini kwa mujibu wa Mh. John Komba amekanusha tukio hili na kusema kuwa Picha hizi ni za ku edit na kwamba si kweli kwamba yeye ni mchafu kiasi hicho.

*J

No comments:

Post a Comment