CHATU MKUBWA AKUTWA KWENYE NYUMBA YA MFANYA BIASHARA AKIWA NA VITAMBAA VIWILI CHEUSI NA CHEUPE WANANCHI WADAI NI WA UCHAWI WAMKATA KATA NA MAPANGA
Kijana akiwa amembeba nyoka baada ya kucharangwa kwa mapanga akitoka naye nje ya uzio wa kanisa hilo
Nyoka aina ya chatu aliyetolewa nyumbani kwa mfanyabiashara maarufu
jijini Arusha Joseph Magesse akivutwa na wananchi kuelekea kwenye kanisa
katoliki la karsamatiki eneo la Sakina jijini Arusha ambapo aliuawa kwa
kucharangwa na shoka na wananchi wenye hasina na imani hizo za
kishirikina
MMOJA wawananchi akiwa ameshika shoka akiendelea kumchoronga chatu huyo
Mabaki ya mwili wa chatu huyo baada ya kucharanwa
Nyumba yamfanyabishara ambapo alikutwa nyoka huyo na chini ni sehemu ya magari ya mfanyabiashra huyo
No comments:
Post a Comment