BONANZA LA VYOMBO VYA HABARI ARUSHA LAFANA,AJTC WAZOA UBINGWA WA KABUMBU NA NETBALL
![]() |
| Washindi wa kukimbiza Kuku kutoka The Institute of Media and Social Studies(IMS) "wakishow" |
![]() |
| Katibu wa Kudumu wa Taswa Arusha,Mussa Juma(shoto) akiwa Le Mutuz baada ya kukagua timu za Arusha One Radio na Arusha Journalism Training College(AJTC) |
![]() |
| Mabingwa katika mpira wa miguu na mpira wa Pete(Netball)Chuo cha Arusha Journalism Training College(AJTC)wakishangilia ushindi wao. |
![]() |
| Waandishi wa habari za michezo wakifatilia burudani. |
![]() |
| Wadau kutoka Chuo cha AJTC |
![]() |
| Tupo .... |
![]() |
| Katibu Msaidizi wa Taswa Arusha na Mtangazaji Mahiri wa vipindi vya Michezo na Burudani,Hamza Kalemera akichapa kazi,kulia ni Mussa Juma |











No comments:
Post a Comment