Soko la Karume lateketea kwa moto usiku huu
Moto mkali umetokea katika soko la kuuzia mitumba la karume jijini dar es salaam
umati wa watu mkubwa, baadhi wanalia kwa uchungu wakiwa wamejishika kwa kukata tamaa.
Chanzo kinadaiwa kuwa ni sehemu ya "Mama Ntilie" (ambao inasemekana huchemsha maharage na kuyaacha usiku ili yaive vizuri)
No comments:
Post a Comment