Nuh Mziwanda Ajipiga Tattoo Yenye Jina La SHISHI BABY
Nuh Mziwanda ameamua
kudhihirisha upendo wake kwa Shilole kwa kujichora tattoo yenye jina la msanii
huyo wa ‘Nakomaa na Jiji’.
“Coz nampenda mke wangu
nimeamua kuchora jina lake! Ila imeuma kuliko tattoo iliyopita! Siju kwa nn??,”
ameandika kwenye picha aliyoiweka Instagram.
Naye Shilole Kafunguka hivii Thankx my lv 4 dis! Umeonyesha lv ya ukweli.
No comments:
Post a Comment