wabunge ambao hawakuwahi kuuliza masali bungeni,Rekodi za Hansard za bunge zinaonesha kuwa wabunge Esther Bulaya,Diana Chilolo,Moses Machali,Ally Kessy,Seleman Jaffo,Suzan Lyimo na Halima Mdee,nao wamo kwenye orodha ya wabunge waliochangia mara nyingi.
Rekodi zinaonesha wabunge wa kuteuliwa na raisi hawachangii kabisa
mfano Zakhia Meghji,akiwa hajawahi kuuliza swali hata moja,rekodi pia
zinaonesha kuwa wabunge ambao ni watumishi wa serikali,nao
hawacgangii bungeni,Stelah Manyanya,ambae ni mkuu wa Mkoa wa Rukwa,hajawahi kuuliza swali hata moja,huku Lucy Mayenga ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Uyui nae hajawai kuuliza swali hata moja katika bunge,aliyewahi kuwa waziri wa fedha Mustafa Mkulo nae hajawahi kuuliza swali bungeni.......

No comments:
Post a Comment