MAMA REGINA LOWASSA ASHEREHEKEA KUADHIMISHA MIAKA 60 YA KUZALIWA KWAKE LEO
Mke wa
Waziri Mkuu Msaafu (Mh. Edward Lowassa),Mama Regina Lowassa (kushoto)
akimsikiliza kwa makini Dada yake mkubwa wakati akizungumza machache
kwenye hafla fupi ya kusherehekea kuadhimisha miaka 60 ya kuzaliwa kwake
iliyofanyika leo nyumbani kwake,Masaki jijini Dar es salaam.
Mama Regina Lowassa akiwa na Marafiki zake wakati hafla hiyo ikiendelea.
Mama Regina Lowassa akipokea zawadi ya Kitabu kutoka kwa mmoja wa Marafiki zake waliohudhulia hafla hiyo.
Wajukuu wakimpongeza Bibi yao.
Mmoja wa wajukuu akitoa burudani.
Watoto
wa Mh. Edward na Mama Regina Lowassa,Adda (kushoto) na Pamela Lowassa
wakiimba wimbo maalum wa kumpongeza Mama yao kwa kutimiza miaka 60 ya
kuzaliwa kwake.
Adda akiimba kwa hisia kali.
Mama Regina Lowassa akikata keki.
Mama Regina Lowassa akimlisha Keki Mumewe,Mh. Edward Lowassa
Mh. Lowassa nae akalisha keki Mkewe.
Wajukuu wakila keki.
Muda wa kufungua Shampein ukawadia.
No comments:
Post a Comment