Saturday, June 14, 2014

Wasanii zaidi ya 50 waliotengeneza na ku-record wimbo wa miaka 50 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, pamoja na wafanyakazi wa Radio Clouds Fm tayari washaanza safari ya kuelekea Dodoma.

Kampeni ya Tanzania Naiaminia inatarajiwa kufanyika mjini Dodoma, huku mgeni rasmi akiwa ni Mh Raisi Jakaya Mrisho Kikwete.


Mrisho mpoto, ambae kama kawa ameendeleza historia yake ya kutembea peku

Mkuu wa vipindi, Clouds Fm, Sebastian Maganga na Suzy Baltazari


Roma na Kalala Jr

Linex

Kalal Jr, Luiza Mbutu na Jose Mara

Baba Levo

Adam Mchomvu na Babab Levo

Queen Darlin na mwenzie

Nuh Mziwanda na Shilole

Godzilla na Mwasiti

Izzo B na Quick Rocka

Young Killa

Asley n amwenzie wanaounda kundi  la mkubwa na wanawe

Recho na Baby J

Ommy Dimpoz, Fetty na Mama jonnii


No comments:

Post a Comment