ANGALIA SIKU YA FAMILIA ILIVYOFANA ARUSHA TECHNICAL COLLEGE(ATC)
Mkuu
wa Chuo cha Ufundi Arusha,Dk Richard Massika(wa pili kulia)akiwa na
wafanyakazi wenzake kwenye mazoezi ya viungo katika viwanja vya chuo
hicho.
Mkuu
wa Chuo cha Ufundi Arusha,Dk Richard Massika kulia)akiwa na wafanyakazi
wenzake kwenye mazoezi ya viungo katika viwanja vya chuo hicho.
Watoto wa wafanyakazi nao walijuika kwenye mazoezi ya siku ya familia.
Mashindano ya kukimbia kwenye magunia yalivutia wengi walihudhuria siku ya Familia iliyopewa jina la “ATC Familia Moja”
Kukimbiza Kuku kwaajili ya kitoweo
Wafanyakazi na wanafamilia wanawake wakishangilia baada ya kukabidhiwa Kombe la ushindi
Wanafamilia wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)wakifatilia michezo mbalimbali
Makamu
Mkuu wa Chuo,Utawala na Fedha,Dk Erick Mgaya akishangilia baada ya timu
yake(Idara ya Umeme)kutwaa ubingwa wa mpira wa miguu dhidi ya AutoMech.
No comments:
Post a Comment