mbunge wa arumeru mashariki mh joshua nasari,akiwa na raisi
Yoweri Museven pamoja na viongozi mbalimbali wa Afrika katika mkutano nchini marekani ulioandaliwa na raisi wa marekani Barack obama
Mh Nasari akifurahi jambo
mbunge wa arumeru mashariki mh joshua nasari,akiwasili katika mkutano huo
picha na matukio mbalimbali tutakuwa tunawaletea kadri tutakapozipata
No comments:
Post a Comment