KITUO CHA REDIO 5 NDANI YA VIWANJA VYA 8 8 JIJINI ARUSHA
Taswira katika banda la Tan
Communication Media inayo miliki kituo cha Radio 5 chenye makao yake
makuu jijini Arusha katika viwanja vya nane nane njiro ,
Katikati niMeneja masoko wa
Tan Communication Media inayo miliki kituo cha Radio5 Sarah Keiya
kushoto mtangazaji wa kituo hicho Godfrey Thomas na kulia ni Dj Ibraah anayesababisha pande hizo
Dj Ibraah akifanya yake kwenye moja na mbili
Kushoto ni Goodluck Kissanga ,Godfrey Thomas
watangazaji wa kituo hicho,katikati ni Meneja masoko wa Tan
Communication Media inayo miliki kituo cha Radio5 Sarah Keiya na Dj
Ibraah
Kampuni ya Tan Communication Media inayo
miliki kituo cha Radio 5 chenye makao yake makuu jijini Arusha
kimeshiriki vyema katika maonyesho ya nane nane hivyo kuwataka watu
mbalimbali kutembelea banda lao kujionea amna wanavyohabarisha jamii
Meneja masoko wa Tan Communication Media
inayo miliki kituo cha Radio5 Bi. Sarah Keiya anasema kuwakituo hicho
kinasaidia wakulima kwa kuwaunganisha na wadau wa kilimo kupata pembejeo
za kilimo
“Katika kituo chetu cha Redio 5 tunavipindi
viwili vinavyohusu kilimo ambacho ni AMKA na FAHARI YANGU”Vipindi hivi
huwasaidia wakulima alisema Keiya
Pia katika maonyesho hayo kutakuwepo na
mashindano ya kuwashindanisha waimbaji ikiwa nikuwaibua vipaji vyao na
mshindi kupatiwa zawadi
Hata hivyo Keiya aliwataka wafanyabishara
mbalimbali kutangaza biashara zao kupitia kituo hicho cha Redio 5
kwakuwa wamepunguza bei ya matangazo kwa asilimia 50% hadi tarehe 15
mwezi huu
No comments:
Post a Comment