Baadhi
ya Wanasalamu wa kituo cha Radio 5 chenye makao yake makuu njiro jijini
Arusha wakikabidhi sehemu ya msaada wao kwa uongozi wa hospitali ya
mkoa Mt.meru jana,kulia ni
mratibu wa salamu kupitia kipindi cha usiku wa moto Yacob Simba kushoto
ni Sista Shubi Mjawizi,anayefatia ni Sista Merry Stalla
Yacob Simba akiongea na baadhi ya wanasalamu katika viwanja vya hospitali ya Mt.Meru anayefatia ni Godfrey
Thomas ambao ni waratibu wa shughuli hiyo kupitia kituo cha Radio 5
katika kipindi usiku wa moto kinachorushwa kwanzia saa saba usiku hadi
kumi na moja alfajiri kwa wiki nzima
Yacob Simba akikabidhi ndoo ya mafuta kwa uongozi wa hospitali ya Mt.Meru jana baadaa ya wanasalamu kutoka mikoa zaidi 21 kufika hospitalini hapo kuwafariji wagonjwa
Vicky Mwakoyo ambaye ni
Creative Meneja wa kampuni ya Tan Communication Media inayomiliki kituo
cha Radio 5 Arusha,katikati ni Yacob Simba na Godfrey Thomas wakiwa wanajadili jamboKulia ni Lucy Bongole ambaye ni mwanasalamu wakiwa wanajadiliana na wenzake katika viwanja vya hospitali ya Mt.Meru katikati ni Zuhura Mbise maarufu kwa jina la mama Sosy,kushoto ni Sister Monduly
Kushoto
Mtangazaji maarufu wa Redio 5 kupitia kipindi chake cha love cuts
kinachorushwa jumatatu hadi ijumaa saa nne hadi saa saba usiku
Semio Sonyo akiwa na mtangazaji machachari aliyejizolea umaarufu mkubwa
kupitia kipindi chake cha usiku wa Moto kinachorushwa kwanzia saa saba usiku hadi kumi na moja alfajiri kwa wiki nzima Godfrey Thomas aka GT wakifurahia jambo
Nesi wa hospitali ya Mt.Meru
Sista Merry Stella akitoa neno la shukrani kwa wanasalamu waliofika
kuwatembela wagonjwa hospitalini hapo ambapo amewataka watu na mashirika
mbalimbali kuiga mfano huo kwa kuwa mahitaji ya wagonjwa ni makubwa
Wapili kulia ni mmiliki wa jamiiblog Pamela Mollel wakwanza kushoto ni Godfrey Thomas aka GT wakiwa katika picha na baadhi ya wanasalamu jana zoezi hilo liliratibiwa na kituo cha Redio 5 kupitia kipindi cha usiku wa moto
Baadhi ya wanasalamu wakisubiria kuingia katika wodi mbalimbali kuwajulia hali wagonjwa hospitalini hapo
Mwanasalamu
mkongwe kutoka Arusha Baba Ali Mbondei(aliyevalia tisheti ya Redio
5)akiwa na wanasalamu wenzake wakimjulia hali mgonjwa katika wodi ya
wanaume
Wanasalamu wakiwa wanasoma dua kwa mgonjwa wodi ya wanaume katika hospitali ya Mt.Meru jijini Arusha
Godfrey Thomas
aka GT katikati akiwa amepozi na mashabiki wake ambao ni wanasalamu
kupitia kipindi cha usiku wa moto cha kituo cha Redio 5 jijini Arusha
Wanasalamu kutoka mikoa mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja katika viwanja vya hospitali ya Mt.Meru mara baada ya kufanya ziara ya kuwatembelea wagonjwa
No comments:
Post a Comment