Monday, March 30, 2015

Dr Eliamani Laltaika amwaga somo zito kwa wanafunzi waliohitimu mafunzo ya computer

Wanafunzi wa shahada ya uzamivu (PhD) katika maswala ya Computer kutoka Chuo cha Nelson Mandela walipokuwa Terrat, Simanjiro mwishoni mwa wiki kuwapongeza wahitimu 25 wa kozi ya computer inayotolewa na chuo cha computa na ufundi stadi cha Terrat. Kwa unyenyekevu mkubwa nilikuwa mgeni rasmi katika hafla hii ya kihistoria.

No comments:

Post a Comment