Wema
Sepetu akiwa ndani ya studio za Radio 5 jana mara baada yan kufanya
ziara fupi mjengoni hapo akielezea pia kuhusu show yake ya black and
white party iliyofanyika jana usiku tarehe 7/3/2015 jijini Arusha
kushoto ni mtangazaji mahiri wa kituo hicho Wilfredy akiwa anafanya
kipindi na mwanadada huyo, Wanaonekana pichani ni team Wema.(Habari
Picha na Pamela Mlollel wa jamiiblog)
Wema
Sepetu akiwa anaeleza furaha yake yakuwepo jiji Arusha ambapo amesema
jiji la Arusha ni miongoni mwa majiji anayoyapenda, Mwanza ikiwa ya
kwanza na Arusha ya pili, Kulia ni msanii Petiman a.k.a Wakuache.
Meneja wa Wema Sepetu Martin Kadinda akiwa anatoa neno la shukran kwa wana Arusha kwa mapokezi yao makubwa.
Team mishemishe wakiwa na Wema Sepetu, kushoto; Mwanaisha Suleiman, Wema Sepetu, Mwangaza Jumanne na Hilda Kinabo wakishoo love.
Mtangazaji mahiri wa kituo cha Radio5 Wilfredy akiwa katika picha ya pamoja na mwana dada Wema Sepetu.
No comments:
Post a Comment