Mtu moja anajulikana kwa jina la "Blakii" au "Baba Tony" ambaye ni dereva tours alimwua kijana wa kimasai baada ya kumfumania na housegirl wake, amempiga kama mnyama amesaga kizazi chote. Vijana wa kimasai wakakusanyika wamechoma magari yake mawili na nyumba.

Na kama vipi mwili wa marehemu utazikwa pale pale kwenye kiwanja cha mwenye nyumba!