Thursday, August 13, 2015

Mgombea urais wa UKAWA kupitia CHADEMA, Edward Lowassa akiwa anawasili msibani kwa marehemu mzee Chisumo, mkoani Kilimanjaro. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Kikwete, pia anatarajia kuhudhuria mazishi ya mwasisi huyo wa TANU na CCM leo.

Mhe  Lowassa  akiwasili    msibani



msafara  wa  Lowassa  ukiwa  mjini  moshi ni baada yakuzuiliwa kwa muda


No comments:

Post a Comment