BREAKING NEWS:
Rais wa Tanzania Dk. John Magufuli ameagiza kutofanyika
kwa sherehe za Uhuru tarehe 9 Desemba, na badala yake siku hiyo itumike
katika kufanya usafi katika mikoa yote nchini ili kukabiliana na mlipuko
wa kipindupindu.
Imeelezwa kwamba bajeti yake itaelekezwa katika shuhuli zitakazoleta maendeleo
Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania dr John Pombe Magufuli
No comments:
Post a Comment