Harakati za kutekeleza ahadi mbalimbali zilizoahidiwa na
wabunge zimeanza kutekelezwa kwa vitendo ili kuendana na kasi ya
utendaji iliyopo mtu wangu
Joshua Nassari(Mbunge wa Arumeru Mashariki) ameelekea
China katika harakati za kubadilisha mkopo wa gari lake la Ubunge
nakununulia vitanda vya hospitali na ada kwa yatima Jimboni kwake.
Ameanza kufanyia kazi ahadi yake.
hapa nina picha za Mbunge huyo akiwa nchini
China kwa ajili yakununua vitanda 200 kwa ajili ya kusaidia wananchi wa
Jimbo lake
No comments:
Post a Comment