Rais magufuli kateua katibu mkuu kiongozi mwingine.,....
Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dr john pombe Magufuli amemteua mhandisi balozi John Kijazi kuwa katibu mkuu kiongozi na kumuondoa Balozi Ombeni Sefue na kusema atapangiwa nafasi nyingine
No comments:
Post a Comment