Wednesday, April 13, 2016

ninazo picha za gari ya kubebea wagonjwa aliyoikabidhi mbunge wa Arusha mjini Godbles Lema

Tunakumbuka wakati wa kampeni za kuomba kuchaguliwa kuwa mbunge moja ya ahadi ambayo Godbless lema mbunge wa Arusha mjini aliahidi ni pamoja nakununua gari yakubebea wagonjwa baada yakuchaguliwa sasa Good news ni kwamba ahadi hiyo imekwisha kutekelezwa na tayari mbunge huyo amemkabidhi gari hilo mstahiki meya wa jiji la Arusha kalist Lazaro ili liweze kutumika kubebea wagonjwa, ninazo picha za muonekano wa gari lenyewe 






No comments:

Post a Comment