Sunday, April 24, 2016

Msanii papa wemba kafariki akiwa jukwaani,Tazama hapa pichaz

Imeripotiwa na mitandao mbalimbali ya Afrika kwamba Mwimbaji huyu mkongwe Papa Wemba kutokea Congo DRC amefariki muda mfupi baada ya kuanguka ghalfa akiwa anatumbuiza jukwaani nchini Ivory Coast kwenye tamasha aliloalikwa kutumbuiza.
Habari hii ni kutoka kwenye moja ya mitandao ya kuaminika nchini Congo DRC  Papa Wemba ambaye inaripotiwa amefariki akiwa na umri wa miaka 66.
Papa Wemba

No comments:

Post a Comment