MSANII WA VICHEKESHO KINYAMBE AFARIKI DUNIA

Msanii mchekeshaji aliyekuwa anakuja juu kwa kasi Mohammed Abdallah almaarufu "KINYAMBE" amefariki dunia usiku wa kuamkia leo huko nyumbani kwao Mbeya.
Mmoja wa wanandugu wa Kinyambe ameithibitishia kuwa msanii huyo wa filamu ambaye pia alikuwa akijulikana kwa jina la James, amefariki baada ya kuugua kwa siku kadhaa.Mungu ailaze roho ya marehemu Kinyambe mahala pema peponi
Jimmy Mafufu with
·
Instagram ·
Vyanzo;lewis mbonde
funguka live blog
No comments:
Post a Comment