Saturday, June 25, 2016

Miss Tanzania alivyoongozo wasanii kuchangisha Fedha za bima Kwa waandishi

Miss Tanzania Lillian Kamazima na wasanii wengine wa bongo movie na bongo fleva wakiwa katika uwanja wa jamhuri dodoma wanaosha magari  Kwa ajili yakuchangisha Fedha ili kusaidia waandishi wa habar kupata bima

No comments:

Post a Comment