Sunday, July 10, 2016

meya wa jiji la arusha kalist lazaro ameomba huu msaada kwa watanzania

meya wa jiji la arusha kalist lazaro amezidi kuendeleakuwaomba watanzania kumpigia kura kadri ya uwezo wao ili kumwezesha kushinda nafasi ya meya bora katika BEST MAYOR AWARDS,sasa fanya hivi ingia kwenye sehemu yakuandika ujumbe mfupi kwenye simu yako andika 14 halafu tuma kwenda 15440 kila ujumbe utachajiwa shilingi 60

No comments:

Post a Comment